4 Dec 2025 10:12 am | Citizen TV 3,223 views Duration: 1:43 Balozi wa Marekani nchini Kenya Susan Burns ameshikilia kwamba ziara ya Rais William Ruto nchini Marekani inalenga kuwapiga jeki vijana na wawekezaji wa humu nchini.