4 Dec 2025 10:16 am | Citizen TV 510 views Duration: 2:19 Serikali inahimizwa kuboresha miundo msingi ya vituo vya polisi na mahakama ili kuimarisha kampeni ya kupambana na ongezeko la visa vya dhuluma za kijinsia katika kaunti ya Kilifi.