- 34,899 viewsDuration: 12:15Mbunge wa Kiharu Ndidi Nyoro amesema kuwa hatua ya serikali kuuza hisa zake za kampuni ya Safaricom ni ya kibinafsi kwani serikali itapata hasara kubwa. Nyoro anasema kuwa wakenya watapoteza pesa nyingi sana kwenye uuzaji huo kwani hisa moja itauzwa kwa shilingi thelathini na tano ilhali kwa sasa bei ya hisa ni shilingi arobaini na tano.