- 421 viewsDuration: 2:05Wamiliki wa shamba la kijamii la Kishushe kaunti ya Taita Taveta wametishia kufanya maandamano hadi afisi ya rais baada ya wawekezaji wa kibinafsi kuingia kwenye shamba hilo ili kuendeleza uchimbaji madini bila ruhusa kutoka kwao