- 653 viewsDuration: 3:38Wauguzi zaidi ya 300 ambao waliajiriwa mapema mwaka huu Katika kunti ya Kajiado wanaishi katika hali ya uchochole baada ya kukosa kulipwa kwa zaidi ya miezi sita. Juhudi zao za kutaka wasikilizwe na Gavana wa Kajiado Joseph Ole Lenku ziligonga mwamba baada ya kufika ofisini mwake na kumkosa.