4 Dec 2025 1:24 pm | Citizen TV 18,091 views Duration: 6:56 Awamu ya 14 ya Tamasha ya marsabit na ziwa turkana imeng'oa nanga rasmi huko Loiyangalani , Jamii kumi na nne zinazoishi kaunti ya Marsabit zikijumuika kwenye hafla hiyo uya kitamaduni ya kila mwaka.