4 Dec 2025 1:36 pm | Citizen TV 5,022 views Duration: 1:32 Wenyeji wa Isulu kaunti ya Kakamega wamezua rabsha kupinga mkutano ulioandaliwa na Nema kujadili swala la uchimbaji madini eneo. Aidha watu kadhaa wanadaiwa kupigwa risasa na polisi huku maafisa kadhaa pia wakijeruhiwa.