- 416 viewsDuration: 1:09Gavana wa Machakos Wavinya Ndeti amewahimiza vijana kukataa kutumiwa na wanasiasa kuchochea vurugu na badala yake wajisajili kuwa wapigakura . Akizungumza kwenye mchuano wa kombe la Wavinya, gavana huyo alieleza kuwa michezo hiyo imekuza vipaji vya vijana na kuinua hali hayo ya maisha.