Skip to main content
Skip to main content

Sekta ya uchukuzi wa mizigo nchini China yazidi kustawi

  • | KBC Video
    152 views
    Duration: 2:45
    Sekta ya uchukuzi wa mizigo nchini china inazidi kustawi kwa kazi kasi. Kwa mujibu wa takwimu zilizotolewa Ijumaa na Shirikisho la China la Usafirishaji Mizigo na Ununuzi,zilionyesha kuwa thamani ya jumla ya shughuli za usafirishaji mizigo nchini humo iliongezeka kwa asilimia 5.1 na kufikia yuan trilioni 290.TAZAMA Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive