Safari ya mafanikio huenda ikawa gumu kwani maisha yana misukosuko, hata hivyo vijana wanahimizwa kuto-kata tamaa katika azma ya kujitafutia riziki. Diana Mbula ni mmoja wa mabinti waliokumbatia maarifa ya ulimbwende kujiajiri baada ya kuhitimu kutoka chuo kikuu. Fredrick Muoki anamwangazia Mbula kwenye makala ya juma hili ya Kazi ni Kazi. Tazama
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive