Skip to main content
Skip to main content

Wakazi wa Ilmunkush Kajiado Mashariki waishi gizani kwa zaidi ya miaka 10

  • | Citizen TV
    555 views
    Duration: 3:41
    Wakazi wa eneo la Ilmunkush huko Kajiado East wanalalamikia kukosa umeme kwa zaidi ya miaka kumi licha ya nyaya na nguzo za stima kupitishiwa katika eneo hilo kitambo. Wanasema malalamishi yao kwa kampuni ya usambazaji umeme - Kenya Power, yanaendelea kupuuzwa. Na kama anavyoarifu Nancy Kering, hospitali katika eneo hilo zimekosa njia ya kuhifadhi dawa kutokana na ukosefu wa umeme.