- 1,731 viewsDuration: 2:55Viongozi wa vijana katika kaunti ya Homa bay wanawarai wakazi na viongozi wa kisiasa kufanya maridhiano baada migongano ya uchaguzi ndogo uliofanyika katika eneobunge la kasipul. Haya yanajiri wakati malumbano yanaendelea kutokota baina ya wanachana wa ODM na UDA katika kaunti ya Homa bay. Baadhi ya viongozi wa kike pia wanalalamikia ukandamizaji kutoka kwa baadhi ya viongozi walioko mamlakani. James Latano na taarifa zaidi kutoka Homa Bay.