- 488 viewsDuration: 2:36Wafugaji wa ng'ombe wa maziwa wanaoishi mijini katika Kaunti ya Kajiado, sasa wameanza kutumia mfumo wa zero grazing ili kupunguza gharama na kuongeza uzalishaji wa maziwa. Njia hii inabadilisha namna ufugaji huo unavyotekelezwa katika eneo hilo. Kwenye makala ya leo ya Kilimo Biashara, Denis Otieno anaangazia ufugaji wa ng'ombe wa maziwa katika kipande kidogo cha ardhi ya ekari moja.