4 Dec 2025 2:11 pm | Citizen TV 501 views Duration: 1:57 Serikali kupitia wizara ya michezo nchini imeanza mchakato wa kuzishawishi kampuni za uchina nchini kuwekeza kwenye fani mbalimbali za michezo.