Skip to main content
Skip to main content

Kilifi: Hamasa yaanzishwa kwa wanabodaboda kuwashirikisha katika vita dhidi ya mifumo ya ukatili

  • | NTV Video
    156 views
    Duration: 2:00
    Huku ulimwengu ukiendelea kuadhimisha siku 16 za kampeni dhidi ya ukatili wa kijinsia, wadau mbalimbali katika kaunti ya Kilifi wameanzisha msururu wa hamasa kwa wahudumu wa bodaboda, wakilenga kuwashirikisha katika vita dhidi ya mifumo yoyote ya ukatili, ikiwemo ule unaotekelezwa kupitia mitandao ya kijamii. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya