Skip to main content
Skip to main content

Walimu watano wapewa safari ya Dubai na Ndindi Nyoro kama motisha kwa kazi kuntu wanayoitekeleza

  • | NTV Video
    583 views
    Duration: 2:25
    Walimu wakuu wakiwemo walimu watano waliofanya bora zaidi katika eneo bunge la Kiharu kaunti ya Kiambu wamepewa safari ya Dubai na mbunge wao Ndindi Nyoro katika juhudi za kuwapa motisha kwa kazi kuntu wanayoitekeleza. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya