- 31,643 viewsDuration: 28:10Marekani imesema kuwa inatathimini upya uhusiano wake na Tanzania kufuatia mauaji ya raia wengi wakati wa uchaguzi mkuu wa hivi karibuni. Taarifa iliotolewa na ubalozi wa Marekani, imesema kuwa licha ya uhusiano wake wa muda mrefu uliostawi kati yake na taifa hilo, hatua ya hivi karibuni ya taifa hilo imezua wasiwasi mkubwa kuhusu mwelekeo wa uhusiano huo. Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw