- 15,530 viewsDuration: 1:59Rais william ruto ametia saini makubaliano ya kenya kupewa deni la nafuu na shirika la marekani kwa gharama ya shilingi bilioni 129. Deni hili lenye mfumo tofauti na deni la awali linamaanisha kuwa kenya itapewa upya mkopo wa nafuu kwa masharti kuwa, pesa za deni zinazoolewa zitatumika kufadhili miradi ya chakula.