Skip to main content
Skip to main content

Watu wenye ulemavu Laikipia wataka mashine ya CT scan na MRI

  • | Citizen TV
    422 views
    Duration: 2:09
    Watu wenye ulemavu katika Kaunti ya Laikipia wanaitaka serikali kuharakisha utoaji wa mashine za CT Scan na MRI katika hospitali za Nanyuki.