- 361 viewsDuration: 1:54Baadhi ya Mashirika ya kijamii kaunti ya Kwale yanasema kuwa visa vya ulawiti wa wavulana vimeongezeka katika kaunti hiyo na kuna haja ya dhuluma hizo kuangaziwa wakati ulimwengu unaadhimisha siku 16 za kupambana na ukatili wa kijinsia