5 Dec 2025 10:15 am | Citizen TV 398 views Duration: 2:16 Wachungaji wa mifugo kwenye mbuga la ADC kaunti ya laikipia wanakadiria hasara kubwa baada kufurushwa kutoka mbuga hiyo mapema wiki hii kukiwa na madai kwamba baadhi ya mifugo wao walichomwa