5 Dec 2025 10:18 am | Citizen TV 358 views Duration: 58s Wakfu wa Mpesa umetia saini mkataba na Serikali ya Kaunti ya Narok wa kujenga zahanati 5 katika eneo bunge la Narok Kusini zitakazogharimu shilingi milioni 339.