5 Dec 2025 10:20 am | Citizen TV 444 views Duration: 1:16 Serikali ya kaunti ya Machakos imesisitiza kujitolea kwake katika uwezeshaji wa vijana kwa kufungua kituo kipya cha dijitali huko Athi River kaunti ndogo ya Mavoko