Skip to main content
Skip to main content

SHAJARA | Simulizi ya David anayeugua saratani ya koo na mkewe anayeugua saratani ya matiti [Part 2]

  • | Citizen TV
    485 views
    Duration: 13:48
    David Maina anaugua saratani ya koo. Elizabeth Waithera anaugua saratani ya matiti. David anakula kwa kutumia mrija unaowekwa tumboni. Elizabeth alikatwa titi baada ya kuathirika na saratani. Ni mume na mke, wazazi wa watoto watano.