- 406 viewsDuration: 3:08Ni afueni kwa wakazi wa Ntil Baragoi samburu kaskazini,kufuatia uzinduzi wa miradi ya maji eneo hilo,miradi iliyofadhiliwa na mamlaka ya maendeleo katika bonde la Kerio KVDA. Miradi hiyo inanuiwa kuwaondolea dhiki wafugaji ya kusafiri mwendo mrefu kukata kiu ya maji.