- 2,681 viewsDuration: 1:57Rais wa Rwanda Paul Kagame na mwenzake wa jamhuri ya kidemokrasi ya Congo Felix Tshisekedi wametia saini makubaliano ya amani jijini Washington DC, Marekani, mktaba huo ukitarajiwa kusitisha mapigano katika eneo la Congo Mashariki ambapo mamilioni ya watu wameuawa