- 423 viewsDuration: 1:52Hali ya taharuki inazidi kutanda katika Kaunti ya Pokot Magharibi kufuatia mauaji ya mwanamke aliyepigwa risasi na majahili katika kijiji cha Songok. Tukio hilo limeongeza idadi ya vifo kufikia watu 19 na zaidi ya mifugo 700 kuibwa tangu mwaka huu uanze. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya