Skip to main content
Skip to main content

Wakulima wageukia kilimo cha asili bila ya kutumia kemikali kaunti ya mpakani ya Busia

  • | Citizen TV
    975 views
    Duration: 4:29
    Wakulima wafanyabiashara katika kaunti ya mpakani ya Busia wameitaka serikali ya kaunti hiyo kurasimu na baadaye kupitisha sera ya kilimo ekolojia ili kujenga kilimo endelevu kinachojitosheleza kwa kutumia raslimali asili.Mfumo huo wa kilimo usiotumia kemikali unatarajiwa kurekebisha hali ya rotuba ya ardhi iliyoharibiwa na kukabiliana na athari za mabadiliko ya tabianchi....