5 Dec 2025 1:55 pm | Citizen TV 550 views Duration: 1:18 Wafungwa zaidi ya mia tatu kutoka jela ya Mwingi Waita kaunti ya Kitui walijiunga na viongozi wa kaunti hiyo waliowazawidia na kuwapa mawaidha .