Serikali yatangaza siku tatu za maombolezi kwa heshima ya Malkia Elizabeth wa Pili

  • | KBC Video
    70 views

    Serikali imetangaza siku tatu za maombolezi kwa heshima ya Malkia Elizabeth wa Pili wa Uingereza aliyeaga dunia jana. Bendera zote zitapeperushwa nusu mlingoti humu nchini na katika balozi za Kenya zilizoko kwenye mataifa ya nje. Kwenye risala yake ya rambirambi. Rais Kenyatta alimtaja Malkia huyo kuwa mfano bora wa ubinadamu na uongozi baada ya kuhudumia Uingereza na Jumuiya ya Madola kwa miongo saba.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #uhurukenyatta #queenelizabeth2 #queenelizabethdeath

    death