Skip to main content
Skip to main content

Magatuzini I Wafanyakazi wa umma wahimizwa kuboresha utoaji huduma

  • | KBC Video
    135 views
    Duration: 4:29
    MSETO WA KAUNTI Wafanyakazi wa umma wahimizwa kuboresha utoaji huduma Waziri Ruku asema ufanisi wa taifa unawategemea Viongozi wa DCP washutumu polisi kwa ghasia za Ikolomani Kamati ya ardhi bungeni kuangazia masuala ya ardhi Tana River Wafugaji wa Mbuzi na Kondoo Isiolo watakiwa kuwapeleka kwa chanjo Wakazi Malindi wapata huduma za matibabu bila malipo Kanisa katoliki eneo hilo liliandaa kambi hiyo Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive