Watu saba wamefariki kufuatia ajali mbaya ya barabarani kwenye barabara kuu ya Mombasa-Nairobi karibu na eneo la Miasenyi, katika kaunti ndogo ya Voi, kaunti ya Taita Taveta. Watu wengine kumi na moja walipelekwa hospitalini wakiwa na majeraha mabaya.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive