- 12,067 viewsDuration: 4:13Shirika la utangazaji nchini (KBC) pamoja na vyombo vya habari kwa jumla vinaomboleza kifo cha ghafla cha Festus Amimo ambaye hadi kufariki kwake alikuwa msimamizi wa idhaa ya Mayienga, mojawapo wa kituo kinachomilikiwa na shirika hili. Festus anaripotiwa kupoteza fahamu na kufariki leo asubuhi katika hoteli moja jijini Nairobi na mwili wake ukapelekwa katika chumba cha kuhifadhia maiti cha hospitali ya Nairobi kabla ya kuhamishiwa katika hifadhi ya kibinafsi. Risala za rambirambi zimekuwa zikifurika huku familia na marafiki wakijaribu kuridhia hali ya kifo chake cha ghafla. Polisi wameanzisha uchunguzi ili kubaini kilichosababisha kifo hicho. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive