Huzuni ilitanda huko Sango, Matete, kaunti ya Kakamega, wakati wa mazishi ya watu saba wa familia moja walioaangamia kwenye ajali ya barabarani Kijabe kaunti ya Kiambu. Familia hiyo inayoomboleza ikiongozwa na mzee wa familia Haron Tsivona, ilielezea uchungu wa kuwapoteza wapendwa wao wengi wakati mmoja.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive