8 Dec 2025 1:03 pm | Citizen TV 407 views Duration: 15:14 Oxfam na KHRC zasema Kenya ni ya matajiri wachache Ripoti zinaonyesha kuwa wakenya wengi ni masikini Oxfam: Wakenya 125 wana utajiri uliozidi wa wakenya 42m KHRC inasema kati ya wakenya 10, wanne ni maskini