- 158 viewsDuration: 1:26Tume huru ya uchaguzi na uratibu wa mipaka inasema chaguzi ndogo zilizopita zilitoa taswira kamili ya utayari wake wa kusimamia uchaguzi mkuu ujao licha ya changamoto kadhaa za utovu wa usalama. Aidha, idara ya polisi inasema ilikabiliana na wahusi waliozua ghasia huku uchunguzi zaidi ukiendelea dhidi ya waliovunja sheria za uchaguzi.