- 118 viewsDuration: 1:41Katibu wa wizara ya elimu Elimu, Julius Bitok, amewahakikishia walimu wa sekiondari msingi kwamba serikali itawapa ajira ya kudumu kunzia mwaka ujao wa kifedha. Bitok alikuwa akizungumza eneo la Saos, Eldama Ravine, wakati wa mazishi ya Brian Kuto, mwana wa Mkuu wa Shule ya Wasichana ya Metkei, Rosemary Kuto, aliyefariki siku chache kabla ya mahafali yake.