Skip to main content
Skip to main content

Mifugo wameanza kufa kwa kukosa malisho na maji Kaskazini Mashariki

  • | Citizen TV
    766 views
    Duration: 3:50
    Hali ya ukame katika maeneo ya Kaskazini Mashariki inaendelea kuzorota huku wakazi wakikabiliana na uhaba mkubwa wa chakula na maji. Katika Kaunti za Wajir na Mandera, mamia ya mifugo tayari imeangamia, na familia nyingi sasa zinahangaika kama anavyoarifu mwandishi wetu wa kaunti ya Wajir Hashiim Jimaal