- 172 viewsDuration: 1:56Mkuu wa utumishi wa Umma Felix Koskei amewataka makatibu wa wizara, wakuu wa mashirika na mashirika ya serikali kuzingatia kikamilifu kukamilisha miradi ya maendeleo ifikapo mwaka 2026 ili kutimiza ahadi ambazo serikali ya kwanza ya Kenya iliwapa Wakenya. Koskei anasema kila idara na taasisi lazima ieleze kile kilichosalia kufwanya ili kuhakikisha kuwa miradi hiyo imekamilika. Koskei alisisitiza kwamba hatua za serikali katika utoaji na utekelezaji wa huduma lazima zionekane na Wakenya wote. Koskei alikuwa akizungumza kwenye dhifa ya watumishi wa umma jijini Kisumu .