Skip to main content
Skip to main content

Kongamano la saba la mazingira la umoja wa mataifa, UNEA-7, laanza rasmi jijini Nairobi

  • | NTV Video
    185 views
    Duration: 3:06
    Kongamano la saba la mazingira la umoja wa mataifa, UNEA-7, limeanza rasmi jijini Nairobi. Kongamano hilo limeleta pamoja mawaziri wa mazingira kutoka maeneo yote ya dunia kushiriki mazungumzo kuhusu masuala yanayoathiri mazingira. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya