- 15,760 viewsDuration: 28:10Kwa muda sasa jiji la Dar es Salaam Tanzania limekumbwa na uhaba wa maji. Mifereji katika maeneo mengi imekauka kwa kile kinachotajwa kama uhaba wa mvua na kupungua kwa maji katika vyanzo vya maji kama mito na mabwawa. Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw