Skip to main content
Skip to main content

Uwanja bora zaidi wa ndege duniani unaitwaje na ukoje kwa ndani?

  • | BBC Swahili
    10,340 views
    Duration: 1:51
    Wakati viwanja vingine vikubwa vya ndege vikikabiliwa na panya, migomo ya wafanyakazi na miundombinu kuvuja, kiwanja hiki unaweza kusema ni mji mdogo wa kisasa uliopangiliwa. @frankmavura anatuelezea #bbcswahili #singapore #changiairport Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw