Skip to main content
Skip to main content

Vijana wahusishwa kwenye mbio za baiskeli za kuhamasisha umma dhidi ya mihadarati Malindi

  • | Citizen TV
    174 views
    Duration: 2:07
    Wavulana wadogo kutoka miji ya Malindi na Mombasa wameshiriki kwenye mashindano ya kuendesha baiskeli kama njia ya kuwahamasisha wenzao katika Kupambana na Matumizi ya Dawa za Kulevya. Mashindano hayo yalifanyika katika bustani ya Malindi water front huku Mpango huo ukiwa wa kwanza kuzinduliwa eneo hilo la malindi. Wasimamizi wa shughuli hiyo Wamesema kuwa hatua hii inalenga kuwaleta pamoja vijana wenye umri Kati ya miaka 9-13 kwa lengo la kuwalinda na matumizi ya mihadarati.