Skip to main content
Skip to main content

Washikadau wataka wahuni wa chaguzi ndogo wakamatwe na kushtakiwa

  • | Citizen TV
    266 views
    Duration: 2:54
    Washikadau walioshiriki chaguzi ndogo zilizofanyika majuzi sasa wanataka wahuni waliovuruga amani katika chaguzi hizo kukamatwa na kufunguliwa mashtaka. Wakizungumza katika hafla ya kurejelea chaguzi hizo, wagombea kadhaa walisimulia wanavyoendelea kuhangaishwa na kutishiwa maisha hata baada ya uchaguzi huo