Skip to main content
Skip to main content

DCI yakamata kanda za CCTV kuchunguza mauaji ya Patience Mumbe, 12

  • | Citizen TV
    3,681 views
    Duration: 2:46
    Maafisa wa upelelezi wanaochunguza mauaji ya Patience Mumbe mwenye umri wa miaka 12 wamepata kanda za CCTV wanazotarajia zitasaidia katika uchunguzi. Mumbe aliyepatikana ameuawa na mwili wake kutupwa Embakasi aliondoka nyumbani alhamisi wiki jana asijulikane alikoenda. Kamera za CCTV zikimnasa akikimbia kuelekea kituo cha magari cha Taj Mall kabla ya kupatikana maiti.