Skip to main content
Skip to main content

Ripoti ya wananchi yashutumu uongozi mbaya na huduma duni

  • | Citizen TV
    225 views
    Duration: 3:10
    Taasisi ya uwajibikaji wa kijamii imetoa ripoti ya ukaguzi wa wananchi ikieleza kuwa njaa, ukosefu wa ajira, huduma za afya na elimu bado ni maswala ambayo hayajapewa uzito unaostahili nchini. Mkaguzi mkuu wa hesabu za serikali Nancy Gathungu aliyehudhuria uzinduzi huo amesema chanzo kikuu cha changamoto za kiuchumi ni uongozi mbaya, ukosefu wa uwajibikaji na kushindwa kwa bunge kutekeleza kikamilifu wajibu wake