Skip to main content
Skip to main content

Mwansiasa wa Nandi aliyeripotiwa kutekwa nyara, Shadrack Maritim, arejea nyumbani

  • | NTV Video
    254 views
    Duration: 1:47
    Mwanasiasa wa Nandi, Shadrack Maritim, aliyeripotiwa kutekwa nyara na baadaye kupatikana katika eneo la Mbale, nchini Uganda, zaidi ya siku 35 baada ya kutoweka, hatimaye amerejea nyumbani kwake. Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya