- 27,544 viewsDuration: 28:10Rais wa Marekani Donald Trump ameweka marufuku ya usafiri dhidi ya raia wa Tanzania katika vikwazo vya hivi karibuni vya usafiri. Ikulu ya White House imesema vikwazo hivyo vinavyokusudia "kulinda usalama wa Marekani" vitaanza kutekelezwa Januari 1, 2026. Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw