- 17,082 viewsDuration: 2:42Washukiwa wawili waliohusishwa na uporaji wa simu waliuawa na umma hapo jana hapa jijini Nairobi. Wawili hao walihusishwa na genge lililowavamia kwa kutumia bodaboda na kuwapora wapita njia, wakiwemo maafisa wa polisi. Polisi wanasema washukiwa kadhaa wamekamatwa na wanawasaka wengine waliohusishwa na tukio hilo baada ya hafla ya rais William Ruto ya kukagua mradi wa maji taka eneo la Lucky Summer