Rais William Ruto ametangaza kuwa hazina ya kitaifa ya miundombinu itazinduliwa wiki ijayo. Rais alisema hazina hiyo, ambayo imebuniwa kuvutia ufadhili hadi mara sita zaidi kutoka sekta ya kibinafsi, itasaidia kutafuta rasilimali kwa ajili ya maendeleo muhimu ya miundombinu nchini. Rais Ruto alizungumza leo wakati wa uzinduzi wa hifadhi ya vifaru ya Tsavo Magharibi katika eneo la Ngulia, kaunti ya Taita Taveta.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive